Pata Wapangaji Kiurahisi, Ongeza Kipato.
Tunapiga picha, tunatangaza nyumba yako, na kutafuta wapangaji. Wewe unapokea kodi tu.
Hatua Tatu za Kupata Mpangaji
Wewe miliki nyumba. Sisi tutafute wapangaji.
Piga Simu au WhatsApp
Tuambie kuhusu nyumba yako. Tutapanga muda wa kuitembelea.
Tunapiga Picha na Kutangaza
Tunapiga picha za nyumba yako, tunaithibitisha, na kuiweka mbele ya maelfu ya wapangaji.
Tunapata Mpangaji
Tunawatafuta na kuwachuja wapangaji wanaofaa, kisha tunakuunganisha nao. Uamuzi wa mwisho ni wako.
Njia Rahisi ya Kupata Wapangaji
Bure Kabisa kwa Wamiliki. Hakuna ada wala kamisheni kwa wamiliki. Wapangaji ndio hulipia huduma.
Tunatangaza Kwa Ajili Yako. Hatuhitaji uposti kwenye vikundi vya WhatsApp. Tunashughulikia picha, matangazo, na kuwafikia wapangaji.
Nyumba Zilizothibitishwa Huaminika Zaidi. Tunatembelea na kuthibitisha kila nyumba. Hii huwapa wapangaji imani zaidi.
Uamuzi Ni Wako. Tunakuonyesha wapangaji wanaofaa. Wewe ndiye unayeamua nani aingie.
Acha taarifa zako, tutakupigia
Tuma taarifa zako hapa, au tutumie WhatsApp au barua pepe. Tutawasiliana nawe.
Au tutumie moja kwa moja: WhatsApp · info@ndotoni.com
Usikose Mapato ya Kodi. Tuachie Taarifa Zako Leo.
Tupe taarifa za nyumba yako. Sisi tutatafuta wapangaji na kushughulikia mengine.
info@ndotoni.com